Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Kabisa mbona nyie ni warembo sana bila hayo madude.Umeamua utupopoe asubuhi asuhuhi sio?
Sio kweli kuna wengine bila makeup sura haijakaa mkao. Unakuta mwanamke ana pimples za kutosha bila kuziziba na foundation mtamsema ana ngozi kama fenesi.Kabisa mbona nyie ni warembo sana bila hayo madude.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alikua na ugomvi na makeup artist wake sio kwa kumfanya kinyago cha mpapure.Kuna mmoja mpaka alinichukia ni workmate sasa tukiwa job sijawai kumuona, Kama alivyo kuwa vile siku hiyo.
Tumeenda kwenye harusi ya jamaa usiku ukumbini..yaani makeup amepaka utafikir analia halafu wigi sasa kubwa kuliko hata ya the late Michael Jackson.
Sasa nime kutana nae mlangoni naona mtu ana nichekea nili mlia mikausho mikali nikasema bibi gani huyu ana nijulia wapi mimi duh nilikuja kumtambua baadae sana tena baada ya kunywa bia za kutosha.
Mimi nawaza Alie chora hayo manyonyo๐ค๐๐๐Unakuta binti mrembo kabisa kaajaliwa ngozi nzuri kabisa, sijui ni nini huwa kinawawasha mpaka wajione wao sio warembo hadi wapake haya mimi nayaitaga majivu.
Kuna siku nimemwambia wife jiandae nataka tutoke kidogo, masaa zaidi ya mawili anajipodoa tu mimekaa namsubiri siakatoka chumbani sasa aiseeh nilitamani kumpiga makofi.
Sasa mama hayo ni manini umenipakia? Kawa kama jini nsiyuka, ananiambia mwanamke bila make up hainogi nikamwambia kanitolee mauchafu yako hapa.
Hiyo picha hapo chini ni mwanamuzi wa bongofleva, babiemina siku ya kilele cha shindano la malkia wa nguvu.
View attachment 2568319
View attachment 2568320
Huwa sipend too much makeup simple huwa napaka mwanamke reception wee๐๐ila sipaki zile unakuwa kama umemwagiwa unga๐๐๐Aaliyyah hata Mimi sipendi nikuone Ukiwa na mwonekano wa make up. Unapoteza mvuto wako wa asili na lipsi za wema sepetu zinapotea kabisa yaani.๐
Kama umemwagiwa unga๐Huwa sipend too much makeup simple huwa napaka mwanamke reception wee๐๐ila sipaki zile unakuwa kama umemwagiwa unga๐๐๐