Kuna wakati wanawake mkipaka hizo make-up zenu mnakuwa kama majini

makeup muhimu lakini ndo sio kila mahali lazima upake makeup,
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila watz wanapaka makeup nyingi mno mpaka kero sura zinabadilika wanatoka kwenye uhalisia
Angalia hawa kina bela makeup zao hadi raha

Ona ngozi zao kabisa zinaonekana
Wabongo wanakandikwa mno makeup nyingiii
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huwa nabishana sana na dada zangu,huwa nawaambia kiukwel sijawah ona mwanamke yeyote kapendezwa na hayo ma make up

Wao mara nyingi hunibishia kwa kuniambia eti mara nyingi huwa naona walioweka make up za bei poa

Kuna mdogo wangu alipaka siku ya sendoff yake na huwa ni mzur kwel lakin alivyoweka hayo ma make up alibadilika sana ikaja sura nyingine kabisa,yaan nilkuwa namwangalia mpaka namshangaa na hayo ma kope yao ndo hovyo kabisa
 
Hahahahja
 
Vitu ambavyo nawaza siku nkija kupaka hzo make up nitakuwaje maana sijawahi hata [emoji23]
 
Ilo la makeup ni moja, mimi hayo makucha ndio siyapendi kama nini, yaani nikiona mdada ameyaweka ananichafua sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…