Kuna wake wanaobadili dini KISA mwanamke; mlishawajadili?!

Yaani watu wache kusherehekea maisha kisha dini hiyo haipo.

Mimi binafsi napendelea wa upande wa pili yaani midadi kama yote mje mnihukumu nyie malofa.Yaani niache watoto wazuri kisa dini za kuletewa nasemaje, hiyo haipo😎.
 
Naomba kuuliza na kama mtu anajua au ana experience aweke mtazamo wake au maoni yake. "Je kuna watu wanabafili dini na wanaishi vizur tu wanatatuaje changamoto za kifamilia" naomba elimu wamewezaje? Nina chotala wang mmjoa wa kiislam likija swala la kujadili dini zetu linatukana mood kabisa
 
Ukiona mtu anabadirisha dini sbb ya mtu, basi kuna eneo hajamjua huyo Mungu wake vzr....

Siwezi badirisha dini sbb ya mtu never
Hana mbingu ya kunipeleka
 
Yakobo alilima kibarua miaka saba kwa Laban kisa demu, usishangae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…