Kuna Wakili Mmoja Nguli kaniambia huyu Muuaji Kato Rasta aliyemuua Afisa JWTZ akijitetea hivi wala hatofungwa na ataachiwa Huru upesi

Nilichoelewa. Ni kwamba kila mtu ana haki ya kujilinda anapoona hatari. Sio polisj na wanajeshi ndio wajilinde wao wanapoona wapo hatarini.
Genta wakati mwingine una akili kama german shephard wangu.

Kula gwala.
 
Mkuu inategemea kama haya maelezo alishatoa polisi kama Folio D1

Short of that itakuwa ni afterthought.....

Which can never be tenable in evidence


Lkn mwisho wa siku test itakuwa ni kwamba aliua kwa kukusudia au aliua bila kukusudia.

Hapa ndio mawakili watapimana ubavu.

Labda baada ya muuji kusota sana rumande kwenye pre trial conference in chamber

Mtuhumiwa akakubali lesser offense manslaughter badala ya murder akapewa kesi ya kuuwa bila kukusudia Haya mambo tumeyafanya kitambo na sisi ni Manguli
 
Sasa hayo ni maujanja gani wakati huo ndiyo ukweli wa tukio.lenyewe lilivyotokea!!??
 
Huyo mjeshi kajitafutia kifo tu

Na huyo kato naye kajitafutia makazi ya kukaa kwenye majengo ya serikali
Akizubaa ataishi huko mpaka kufa kwake
Acheze na wanasheria tu,uzuri huko magerezani kuna watu wanajuwa sheria ,lazima watamoanga namna ya kupangua kesi yake

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…