Mr-Njombe
Member
- Aug 29, 2022
- 64
- 122
Poleni sana,
ni muhimu kujifunza kujali afya kwanza kabala ya starehe.
Tazama sasa maumivu unayopitia, gharama na muda unaotumia kujitibu kwasababu tu ya starehe ya muda mfupi.
Jifunze kutumia kinga na kuepuka kufanya ngono zembe kiholela.
Baki njia kuu. Kunywa pombe kupita kiasi ni hatatari kwa afya na uhai wako, kunywa kistaarabu.