Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Uzuri wa biashara hii, nyumba hutegemea na hadithi au simulizi la filamu, kuna wanaopenda nyumba za kifahari au hata mbavu za mbwa pia.
Miaka ya 2000, biashara hii ilishamiri na watu waliweza hata kulipa ada za watoto kutokana na kukodisha nyumba zao kwa filamu. Uzuri wa kukodisha huku ni kwa muda mfupi. Manaweza kukubaliana kwa wiki mbili au mwezi mmoja na ukarudishiwa nyumba yako na faida juu.