Hakuna vya bure, wanalipiaHuku Bongo Moviez watataka free! Na pia Ushamba wa Wenye Nyumba nao hutaka Scene ili wauze Sura tu hivyo wanatoa Bure nyumba zao.
Duh bonge la bedroom,mbu hawezi kaa hapo.View attachment 1991418
Ukodishaji wa nyumba kwa filamu una faida kubwa katika nchi ambazo sanaa ya filamu imesimama vizuri. Afrika ya Kusini, Ghana na Nigeria wenye nyumba huwa wana faidika katika biashara hii.
Uzuri wa biashara hii, nyumba hutegemea na hadithi au simulizi la filamu, kuna wanaopenda nyumba za kifahari au hata mbavu za mbwa pia.
Miaka ya 2000, biashara hii ilishamiri na watu waliweza hata kulipa ada za watoto kutokana na kukodisha nyumba zao kwa filamu. Uzuri wa kukodisha huku ni kwa muda mfupi. Manaweza kukubaliana kwa wiki mbili au mwezi mmoja na ukarudishiwa nyumba yako na faida juu.
Yani nimepatamani kweli.Vumbi linaona aibu kutua
Nadhani wauzaji wa hivo vitu amazing, wachora ramani, desgners, mafundi aina mbalimbali wanafaidi sanaUkodishaji wa nyumba kwa filamu una faida kubwa katika nchi ambazo sanaa ya filamu imesimama vizuri. Afrika ya Kusini, Ghana na Nigeria wenye nyumba huwa wana faidika katika biashara hii.
Uzuri wa biashara hii, nyumba hutegemea na hadithi au simulizi la filamu, kuna wanaopenda nyumba za kifahari au hata mbavu za mbwa pia.
Miaka ya 2000, biashara hii ilishamiri na watu waliweza hata kulipa ada za watoto kutokana na kukodisha nyumba zao kwa filamu. Uzuri wa kukodisha huku ni kwa muda mfupi. Manaweza kukubaliana kwa wiki mbili au mwezi mmoja na ukarudishiwa nyumba yako na faida juu.
Nyumba nyingi paa halipandi juu kutokana na kubana budget ya matofali. Paa likipanda linasaidia hewa kuzunguka vizuri na chumba kinapendeza.Nadhani wauzaji wa hivo vitu amazing, wachora ramani, desgners, mafundi aina mbalimbali wanafaidi sana
Kule Nigeria wanaanza na milioni moja kwa siku kwa majumba yakifahari. Wengine mnakubakiana master bedroom inafungwa kuweka ile heshima tu kitanda cha ndoa.Sijajua kwa upande wa movies gharama ni shingapi ila kwa video ya nyimbo gharama haizidi 50k
Hii picha lengo lake ni kutufanya tu watu tujisikie wanyonge, hakuna lingine. Ungeweza tu kuandika uzi wako bila hiyo picha na ungeeleweka tu. Sawa bana..πUkodishaji wa nyumba kwa filamu una faida kubwa katika nchi ambazo sanaa ya filamu imesimama vizuri. Afrika ya Kusini, Ghana na Nigeria wenye nyumba huwa wana faidika katika biashara hii.
Uzuri wa biashara hii, nyumba hutegemea na hadithi au simulizi la filamu, kuna wanaopenda nyumba za kifahari au hata mbavu za mbwa pia.
Miaka ya 2000, biashara hii ilishamiri na watu waliweza hata kulipa ada za watoto kutokana na kukodisha nyumba zao kwa filamu. Uzuri wa kukodisha huku ni kwa muda mfupi. Manaweza kukubaliana kwa wiki mbili au mwezi mmoja na ukarudishiwa nyumba yako na faida juu.
Mtoto anayetungishwa mimba kwenye kitanda hiki lazima awe na akili.Ukodishaji wa nyumba kwa filamu una faida kubwa katika nchi ambazo sanaa ya filamu imesimama vizuri. Afrika ya Kusini, Ghana na Nigeria wenye nyumba huwa wana faidika katika biashara hii.
Uzuri wa biashara hii, nyumba hutegemea na hadithi au simulizi la filamu, kuna wanaopenda nyumba za kifahari au hata mbavu za mbwa pia.
Miaka ya 2000, biashara hii ilishamiri na watu waliweza hata kulipa ada za watoto kutokana na kukodisha nyumba zao kwa filamu. Uzuri wa kukodisha huku ni kwa muda mfupi. Manaweza kukubaliana kwa wiki mbili au mwezi mmoja na ukarudishiwa nyumba yako na faida juu.
πππ Sisi tunaoishi kwenye chumba chenye jiko kitanda na sebule hapo hapo.Hii picha lengo lake ni kutufanya tu watu tujisikie wanyonge, hakuna lingine. Ungeweza tu kuandika uzi wako bila hiyo picha na ungeeleweka tu. Sawa bana..π
Ni ukorofi tuu..ππππ Sisi tunaoishi kwenye chumba chenye jiko kitanda na sebule hapo hapo.