Kuna wamasai wazuri wakuu

 
View attachment 2937376
 
Mimi wote naokutana na kuwafahamu ni wabaya… yaani katika 10 basi mmoja ndio pisi tena wakiwa wazuri ni ile haswa

Ila wanaume wengi niliokutana nao wa masai ni wazuri sana wako kama wanyaruanda
Basi mi niliokutana nao ni very beautiful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…