Kuna wamasai wazuri wakuu

Kuna wamasai wazuri wakuu

Hizi ndio sura za kimasai..

images (1).jpeg

Hao wengine mnao waona ni Hybrid
 
Mbele yangu nnatuzamana na mwanamke wa kimasai...
Ni mrembo jamani
Yuko natural
Mtoto mrefu kama ngusoo
Shingo yake ina mistari na kama mafuta hivi
Kwa hakika muumba anaumba [emoji1316]
Macho yake yameingia ndani kidogo
Alafu ana kama weusi hivi machoni

Nnashindwa tu kumpiga picha kutokana na angle nliyokaa

Hello diana najua hujui hata JamiiForums ni nini
Nmekuja kukuandika huku ...
Kwa hakika mungu amefanya kazi yake kikamilifuu

Uzi tayari...
FB_IMG_1710685359844.jpg
 
View attachment 2937376
 
Mimi wote naokutana na kuwafahamu ni wabaya… yaani katika 10 basi mmoja ndio pisi tena wakiwa wazuri ni ile haswa

Ila wanaume wengi niliokutana nao wa masai ni wazuri sana wako kama wanyaruanda
Basi mi niliokutana nao ni very beautiful
 
Back
Top Bottom