Kuna wanaomuelewa Mc Pilipili?

yaani mimi sijawahi kuwa impressed nYe kabisa aisee[emoji191][emoji191][emoji191][emoji191]
 
Hivi we unaidika nini kumsema mtu huyu..kwanza yawezekana maisha mazuri kuliko hata wewe mind your own business mjini hapa
 
Maisha yake yanagharamiwa na unaouita upuuzi,Rizki ya Mbwa ipo miguuni mwake...
 
Kweli anachekesha ila kawaida tu
 
Kheri hata umuangalie Ringo na Tini White unaweza kucheka at least, kuliko huyo MC...


Cc: mahondaw
 
unasemaje atafute kazi nyingine wakati anaishi kwa hicho kitu? Angekuwa hana chochcote kama unavyodai basi asingepata hata senti tano. Ali mradi anapata kipato basi ina maana kuna watu wanaompenda.. Na wewe katafute commedian unayempenda. Huyo achana naye.
 
Reactions: THT
Kimfaacho mtu chake , unataka awe mwizi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…