VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
yaani mimi sijawahi kuwa impressed nYe kabisa aisee[emoji191][emoji191][emoji191][emoji191]Wana Jamii.... Me huwa sihoni anachochekesha huyu "Boya" sio lugha nzuri.....Mc Pilipili...Hivi huwa anachekesha nini....nadhani kwa watu wa karibu nae wamshauri afanye shughuli nyingine...maana... Mara 100 niangalie video ya marehemu Kinyambe(Sikumkubali pia R.I.P) Kuliko huyu jamaa.