Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Kama ulikuwa hujui

Kuna wanaume hapa wanamiliki madorali mpaka unashangaa nataman niwatag lakini naona PM zaoo zitastack kama simu za Tecno.


Sifa zao
Huwa hawacomment ila wanalike tu.

Ni balaaaaaaaa huuhuuuu ngoja niishie hapaaa.

Lakini siwezi kuacha kumtag Jr maana yeye tajiri wa tunguli ana uwezo wa kugeuza makaratasi kuwa pesaa.


Wanaume matajiri Jf huwezi kumkuta hata siku moja anachit chat kama Mbao za Mawe au Daby.

Za kuambiwa changanya na zakoo.


Wanaume wenye madorali Jf leo tupo pamoja tumechoka hizi brand I'd kumbe hazifanani na wahusika alafu nyie mnaomiliki mikwanja mmejificha hamtaki kujulikana loooh kazi kweli kweli.




Mrs Jr.
 

May you please send me a Private Message...?
 
Ujue nimekufananisha na rafiki yangu mmoja hivi tunaiva hasaa nikajua ndio yeye aisee baada ya kuona hiyo Lovely hapo chini lol [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Yaani mbio nikakimbilia kwenye Profile yake kwani nilijua amechange id. Duuh.

Nani tena huyo au sio vizuri kumtaja...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…