Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Naomba kujazia hapo.
Wanaume wenye pesa hata ukiwakataa wanakaa kimya. Wale njaa kali wenzangu ukimkataa anaanza kuwa mmbea mara akuongelee mafumbo. Wakati hujala elfu mbili yake.

Kumalizia hili wifi naomba hao wenye hela unipatie ID zao nikawasalimie piem
Si unitaje tu???[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Hey naona nimeitwa huku kunani tena...?. Huyo jamaa ndio unanifananisha na mimi aisee.

Hebu nitake radhi kwanza kabla ya yote my loveliest one and only baby.
Hahahaaa. Nisamehe bure kwa kweli. [emoji120]

Nilikufananisha na huyo NDUKI nikijua ndio weye banaa sababu kitambo mno sijakuona mitaa ya Jf hasa lile jukwaa lako pendwa la Picha.
 
Back
Top Bottom