Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Eeeh. Vizuri tunakula wote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tubanane tu bwana hakuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeh. Vizuri tunakula wote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tubanane tu bwana hakuna namna
Umeona eheeeEeeh. Vizuri tunakula wote
Si unitaje tu???[emoji24] [emoji24] [emoji24]Naomba kujazia hapo.
Wanaume wenye pesa hata ukiwakataa wanakaa kimya. Wale njaa kali wenzangu ukimkataa anaanza kuwa mmbea mara akuongelee mafumbo. Wakati hujala elfu mbili yake.
Kumalizia hili wifi naomba hao wenye hela unipatie ID zao nikawasalimie piem
Kwani kiatu kimekutosha? Wala hujafikia ukike huo kama wakichaa fulani humu. Wamekataliwa pm hasira wanakuja kumalizia kwenye nyuzi.Si unitaje tu???[emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol.Kama hana dolare basi bwana. Nilitaka nimsake
Dah! Afadhali maana nilikua tayari najisogeza karibu na hospitali.Kwani kiatu kimekutosha? Wala hujafikia ukike huo kama wakichaa fulani humu. Wamekataliwa pm hasira wanakuja kumalizia kwenye nyuzi.
Hapana kuwa na amaniDah! Afadhali maana nilikua tayari najisogeza karibu na hospitali.
Basi poa hata kama hunitaki ile ahadi yangu ntakuja kukutimizia bila kukubaka sawa?Hapana kuwa na amani
Pacha upo nimekumiss lol![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol.
Swali zuri sanaOoh Owkay usjali ati, ni mwanaume au mwanamke kwani...?
Huwezi itimiza ninachokunywa huwezi kukinunua au umesahau?Basi poa hata kama hunitaki ile ahadi yangu ntakuja kukutimizia bila kukubaka sawa?
Nipo jamaani Pacha. Wewe ndio huonekani. Kulikoni kwema huko?Pacha upo nimekumiss lol!
Hahahaaa. Nisamehe bure kwa kweli. [emoji120]Hey naona nimeitwa huku kunani tena...?. Huyo jamaa ndio unanifananisha na mimi aisee.
Hebu nitake radhi kwanza kabla ya yote my loveliest one and only baby.
Hivi Mshana hauwezi kugeuza makaratasi kuwa pesa kama wale wanamazingaombwe wa zamani?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] my charm una PhD ya uchokodhi