Kama ulikuwa hujui
Kuna wanaume hapa wanamiliki madorali mpaka unashangaa nataman niwatag lakini naona PM zaoo zitastack kama simu za Tecno.
Sifa zao
Huwa hawacomment ila wanalike tu.
Ni balaaaaaaaa huuhuuuu ngoja niishie hapaaa.
Lakini siwezi kuacha kumtag Jr maana yeye tajiri wa tunguli ana uwezo wa kugeuza makaratasi kuwa pesaa.
Wanaume matajiri Jf huwezi kumkuta hata siku moja anachit chat kama
Mbao za Mawe au
Daby.
Za kuambiwa changanya na zakoo.
Wanaume wenye madorali Jf leo tupo pamoja tumechoka hizi brand I'd kumbe hazifanani na wahusika alafu nyie mnaomiliki mikwanja mmejificha hamtaki kujulikana loooh kazi kweli kweli.
Mrs Jr.