Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Jaman Mahondaw wewe mwanamke bhn huwez kuwa kapuku Wanaume hahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sitak ugomvi ujue[emoji23][emoji23][emoji23]

Hahahahaha.... pamoja sana lol ila utani wako wa ngumi ujue .. wanaume wasake hela sio kushinda mitandaoni kuzogoa tehtehteh .......mimi ndrukiii

cc Smart911
 
Wapo wanaosaka pesa juani (Wanazifukuzia pesa), wao kua online mpaka baadae sana...

Wapo wanaosaka pesa (Kivulini) kwenye kiyoyozi na kikombe cha kahawa pembeni (Pesa zinawafukuzia wao)... online muda wowote...
 
Heri yao wanaume wenye pesa...maana wana uwezo wa kufanya chochote kasoro kuzuia kifo tu. ambacho hakizuiliwi na binadamu ila yeye aliye juu.
 
Sema utapata hela nzuri kwa hii promo
 
Mh huu uzi unawafaa wadada zaidi,
 
Wapo wanaosaka pesa juani (Wanazifukuzia pesa), wao kua online mpaka baadae sana...

Wapo wanaosaka pesa (Kivulini) kwenye kiyoyozi na kikombe cha kahawa pembeni (Pesa zinawafukuzia wao)... online muda wowote...
Una busara sana mkuu, tatizo hadi tuwatoe out na matumizi makubwa ndo wanajua pesa zipo, labda mtoa mada huwa anaoneshwa account balance ndo ntakubali, ila sisi wenye mapesa yetu hatuna mbwembwe matumizi ya fujo ni mbinu tuu ya kujitutumua, watu wanamiliki miradi iliyoajiri watu na hawapigi kelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…