Disciplinarian
Senior Member
- Feb 1, 2017
- 127
- 103
Wataje ila usimsahau bujibuji
Bujibuji ni ‘investigative journalist’..tunangoja arudi unguja,adondoshe makala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataje ila usimsahau bujibuji
Unajutia nini na mimi ni mrs Mangi ingawa si wewe.
Tushtuane basi mjukuu wa bibi.Umesema kweli kuna madon humu wamo kimyaaa hawana kelele kabisa
Jaman Mahondaw wewe mwanamke bhn huwez kuwa kapuku Wanaume hahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitak ugomvi ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshampta Mangi mwingineQueen Dada,mbona unamkimbiza mangi..hujui kama ‘unaeza pata mafao’ hapo
*kumbuka ndo wenye Neema hawa[emoji38]
Hahahahaha.... pamoja sana lol ila utani wako wa ngumi ujue .. wanaume wasake hela sio kushinda mitandaoni kuzogoa tehtehteh .......mimi ndrukiii
cc Smart911
Wapo wanaosaka pesa juani (Wanazifukuzia pesa), wao kua online mpaka baadae sana...
Wapo wanaosaka pesa (Kivulini) kwenye kiyoyozi na kikombe cha kahawa pembeni (Pesa zinawafukuzia wao)... online muda wowote...
Sema utapata hela nzuri kwa hii promoKama ulikuwa hujui
Kuna wanaume hapa wanamiliki madorali mpaka unashangaa nataman niwatag lakini naona PM zaoo zitastack kama simu za Tecno.
Sifa zao
Huwa hawacomment ila wanalike tu.
Ni balaaaaaaaa huuhuuuu ngoja niishie hapaaa.
Lakini siwezi kuacha kumtag Jr maana yeye tajiri wa tunguli ana uwezo wa kugeuza makaratasi kuwa pesaa.
Wanaume matajiri Jf huwezi kumkuta hata siku moja anachit chat kama Mbao za Mawe au Daby.
Za kuambiwa changanya na zakoo.
Wanaume wenye madorali Jf leo tupo pamoja tumechoka hizi brand I'd kumbe hazifanani na wahusika alafu nyie mnaomiliki mikwanja mmejificha hamtaki kujulikana loooh kazi kweli kweli.
Mrs Jr.
Mh huu uzi unawafaa wadada zaidi,Kama ulikuwa hujui

Una busara sana mkuu, tatizo hadi tuwatoe out na matumizi makubwa ndo wanajua pesa zipo, labda mtoa mada huwa anaoneshwa account balance ndo ntakubali, ila sisi wenye mapesa yetu hatuna mbwembwe matumizi ya fujo ni mbinu tuu ya kujitutumua, watu wanamiliki miradi iliyoajiri watu na hawapigi keleleWapo wanaosaka pesa juani (Wanazifukuzia pesa), wao kua online mpaka baadae sana...
Wapo wanaosaka pesa (Kivulini) kwenye kiyoyozi na kikombe cha kahawa pembeni (Pesa zinawafukuzia wao)... online muda wowote...