Mdogo wangu wanifurahishaga sanaDada
Ndo nilichomaanisha mm kwamba watu wenye madorali hawana keleleUna busara sana mkuu, tatizo hadi tuwatoe out na matumizi makubwa ndo wanajua pesa zipo, labda mtoa mada huwa anaoneshwa account balance ndo ntakubali, ila sisi wenye mapesa yetu hatuna mbwembwe matumizi ya fujo ni mbinu tuu ya kujitutumua, watu wanamiliki miradi iliyoajiri watu na hawapigi kelele