Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Una busara sana mkuu, tatizo hadi tuwatoe out na matumizi makubwa ndo wanajua pesa zipo, labda mtoa mada huwa anaoneshwa account balance ndo ntakubali, ila sisi wenye mapesa yetu hatuna mbwembwe matumizi ya fujo ni mbinu tuu ya kujitutumua, watu wanamiliki miradi iliyoajiri watu na hawapigi kelele
Ndo nilichomaanisha mm kwamba watu wenye madorali hawana kelele
 
Back
Top Bottom