Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

kesi hiii lol... mimi ndrukiii...hahaha


cc Smart911
Na mm nakufata ndrwukriiiiiii [emoji188][emoji188][emoji188][emoji188][emoji188][emoji188][emoji188][emoji188][emoji188][emoji100][emoji100][emoji100][emoji100]
 
Yan una matusi wewe si kidogo
Duuuh!!!

Nilisha wahi kukutusi?

Hakika nitakuwa nimekosa nidhamu na kutomtendea muumba wako haki.

Inakuwaje nikawa na ujasiri wa kumtusi binti mrembo asiye na makuu?

Nilithubutu vipi kukuudhi binti uliye jaliwa vyote isipokuwa dhambi?

Kweli sistahili hata huruma na msamaha, ninapaswa kupokea hukumu takatifu toka kwa mola.

Oooh!!
 
Ndo zakoo hizo kila sku unajifanya huna kosaaaaa
 
Vip wanawake, hakuna wanawake weye pesa zao? Kama wapo naomba uni PM id zao ili niunde nao urafiki.[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…