Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demiss sio vzr, mimi nina matusi?Sikupendi unanikumbusha rafiki yangu mangi mmoja mkienda bar huwa ana matusi si kidogooo mpaka tunasikia aibuuu
chit-chatWapi?
Duuuh!!!Yan una matusi wewe si kidogo
Ndo zakoo hizo kila sku unajifanya huna kosaaaaaDuuuh!!!
Nilisha wahi kukutusi?
Hakika nitakuwa nimekosa nidhamu na kutomtendea muumba wako haki.
Inakuwaje nikawa na ujasiri wa kumtusi binti mrembo asiye na makuu?
Nilithubutu vipi kukuudhi binti uliye jaliwa vyote isipokuwa dhambi?
Kweli sistahili hata huruma na msamaha, ninapaswa kupokea hukumu takatifu toka kwa mola.
Oooh!!
Kama Mimi comment 1 mwaka 1Nakazia hapo. Wanacomment mara chache sana.
Aya mama demiss,Ndo zakoo hizo kila sku unajifanya huna kosaaaaa
Umejuaje kama hawajakutumia Mpesa au kukutoa out[emoji23] [emoji23]Siwataki ila nawajua kuwa wana pesaaa