Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Tajiri mchoyo nipo hapakwenye list sikosekani
 
Hv Shunie kauona huu uzi
 
Vip wanawake, hakuna wanawake weye pesa zao? Kama wapo naomba uni PM id zao ili niunde nao urafiki.[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukiwapata niguse na mimi wawe mashoga zangu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] mapugi ndio yana makelele mwenye mahela sa ngpi atashinda chit chat na mmu kupiga kelele
 
Wouzeeer [emoji91][emoji91][emoji91] nakazia
 
Na mm ntaanza kulike ili status yangu ibadilike
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…