Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha ww tena wa kwetuNa mm naomba
Ngoja nikuweke kwenye ignore list kabisa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Hv Shunie kauona huu uziKama ulikuwa hujui
Kuna wanaume hapa wanamiliki madorali mpaka unashangaa nataman niwatag lakini naona PM zaoo zitastack kama simu za Tecno.
Sifa zao
Huwa hawacomment ila wanalike tu.
Ni balaaaaaaaa huuhuuuu ngoja niishie hapaaa.
Lakini siwezi kuacha kumtag Jr maana yeye tajiri wa tunguli ana uwezo wa kugeuza makaratasi kuwa pesaa.
Wanaume matajiri Jf huwezi kumkuta hata siku moja anachit chat kama Mbao za Mawe au Daby.
Za kuambiwa changanya na zakoo.
Wanaume wenye madorali Jf leo tupo pamoja tumechoka hizi brand I'd kumbe hazifanani na wahusika alafu nyie mnaomiliki mikwanja mmejificha hamtaki kujulikana loooh kazi kweli kweli.
Mrs Jr.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukiwapata niguse na mimi wawe mashoga zanguVip wanawake, hakuna wanawake weye pesa zao? Kama wapo naomba uni PM id zao ili niunde nao urafiki.[emoji41]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ondoa shaka, ngoja niendelee kuwasaka![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukiwapata niguse na mimi wawe mashoga zangu
Sawa shoo[emoji1] [emoji1] [emoji1] ondoa shaka, ngoja niendelee kuwasaka!
Itabidi na mimi niwe na like tu swahiba,ili nami nifikiriwe na wachuchu km nina madolari kumbe apeche alolo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka lol.
Ila huyo Kaka wa mie hana Madolari ujue. [emoji12] [emoji12]
Teh naona ni undercover ana mpango wa kuisambaratisha makapuku kama ilivyokuwa kwa Gorbachev
Hatimaye. Welcome back ndugu yanguMsela mwenzangu habari yako
Naomba kujazia hapo.
Wanaume wenye pesa hata ukiwakataa wanakaa kimya. Wale njaa kali wenzangu ukimkataa anaanza kuwa mmbea mara akuongelee mafumbo. Wakati hujala elfu mbili yake.
Kumalizia hili wifi naomba hao wenye hela unipatie ID zao nikawasalimie piem
Na mm ntaanza kulike ili status yangu ibadilikeKama ulikuwa hujui
Kuna wanaume hapa wanamiliki madorali mpaka unashangaa nataman niwatag lakini naona PM zaoo zitastack kama simu za Tecno.
Sifa zao
Huwa hawacomment ila wanalike tu.
Ni balaaaaaaaa huuhuuuu ngoja niishie hapaaa.
Lakini siwezi kuacha kumtag Jr maana yeye tajiri wa tunguli ana uwezo wa kugeuza makaratasi kuwa pesaa.
Wanaume matajiri Jf huwezi kumkuta hata siku moja anachit chat kama Mbao za Mawe au Daby.
Za kuambiwa changanya na zakoo.
Wanaume wenye madorali Jf leo tupo pamoja tumechoka hizi brand I'd kumbe hazifanani na wahusika alafu nyie mnaomiliki mikwanja mmejificha hamtaki kujulikana loooh kazi kweli kweli.
Mrs Jr.
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] mapugi ndio yana makelele mwenye mahela sa ngpi atashinda chit chat na mmu kupiga kelele