Bani sio kifo!halafu mods hawana shida!shida pugi moja hivi!Taratibu jaman msije rud kifungon
Pugi! Mmoja hivi atapata tabu sana![HASHTAG]#pugiiiii[/HASHTAG]
Huuuuuu aiseeee niliumia sana
Usiof atakujaaShemela wapi dada anguu khaaaaa
Sina mahelaaaa.. Nina hela ya kodi,kuvaa,kula nachotaka,kunywa ,kulisha mwanamke wangu kipenzi na huduma zote za msingi.Karibu rafiki na wewe upo kwenye list
Kabisa tunahongwa tu na matajir ya Jf tunakula maisha madoraliiiSina mahelaaaa.. Nina hela ya kodi,kuvaa,kula nachotaka,kunywa ,kulisha mwanamke wangu kipenzi na huduma zote za msingi.
Ila pesa ya kuhonga sina nahaitopatikana .. At this Age Nmeridhika mpaka kuja kufika 30 Hukooo nishakua namahela.
Napita tuuuu ,nawanaona akina mama wenye pesa zenu[emoji23].
Ewaaaaa hayo ndo maisha sasa yanayowastahili .Kabisa tunahongwa tu na matajir ya Jf tunakula maisha madoraliii
Ndio uanzage kwa kweli Swahiba. Hahahaaaa. LolItabidi na mimi niwe na like tu swahiba,ili nami nifikiriwe na wachuchu km nina madolari kumbe apeche alolo
Hahahaaa. Kabisaaaa.Ngoja nizame kule najua na ujio wa Ronaldo atakuwa amepagawa.
Pole kwa ban[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] mapugi ndio yana makelele mwenye mahela sa ngpi atashinda chit chat na mmu kupiga kelele
amekula ban[emoji23]Pole kwa ban