Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Wouzeeeeerrrrrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakojoaaaaaaaaaaaaa
Nakuja kukinga na churururuu

[HASHTAG]#pugiiiii[/HASHTAG]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nothing but voucher!! .

V.Putin .
 
Karibu rafiki na wewe upo kwenye list
Sina mahelaaaa.. Nina hela ya kodi,kuvaa,kula nachotaka,kunywa ,kulisha mwanamke wangu kipenzi na huduma zote za msingi.

Ila pesa ya kuhonga sina nahaitopatikana .. At this Age Nmeridhika mpaka kuja kufika 30 Hukooo nishakua namahela.

Napita tuuuu ,nawanaona akina mama wenye pesa zenu[emoji23].
 
Kabisa tunahongwa tu na matajir ya Jf tunakula maisha madoraliii
 
Kabisa tunahongwa tu na matajir ya Jf tunakula maisha madoraliii
Ewaaaaa hayo ndo maisha sasa yanayowastahili .

Sina shaka kabisaaa , ukisoma koment yangu yakwanza ktk huu uzi nadhan sijabakisha kitu mkuu[emoji23].
 
Back
Top Bottom