Kuna cousin mmoja alikuwa anasema "Shetani wangu hataki hela nyingi".
Mimi nilikuwa nazo,ila Forex imenifilisi,sasa nakomaa na Biko
Warning...'it is being monitored' [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hommie hili lililokukuta tuliite fumanizi au angalizo?
Warning...'it is being monitored' [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hommie hili lililokukuta tuliite fumanizi au angalizo?
Ndio hao wa "Bill Gates kanipigia simu ananiomba anilipe kidogo kidogo deni nimemkatalia nimemwambia anipe zote".Hahaha Elfuonea hao aisee.
Ila siku hii hata milioni sio pesa aisee.
Mie nimecheka hapo kwenye fronting, ndio kifua mbele? [emoji23][emoji23]
Ndio hao wa "Bill Gates kanipigia simu ananiomba anilipe kidogo kidogo deni nimemkatalia nimemwambia anipe zote".
Huku miguu imejaa vumbi, kiatu kimepinda upande mmoja.
Basi acha tuendelee kumsaidia Aijipii kumsaka mbwa wa bandarini...Warning...'it is being monitored' [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Akikutajia unitag mkuu niwaambie wakufungulie piemu zaoNaomba kujazia hapo.
Wanaume wenye pesa hata ukiwakataa wanakaa kimya. Wale njaa kali wenzangu ukimkataa anaanza kuwa mmbea mara akuongelee mafumbo. Wakati hujala elfu mbili yake.
Kumalizia hili wifi naomba hao wenye hela unipatie ID zao nikawasalimie piem
Huyo labda anaitumikisha hela yake ipo kwenye mzunguko.Na gari inatoa moshi kama treni, na tairi kipara [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kuna mkaka ana stori miingi za hela ila kila saa anasema nna buku 3 tu hapa mfukoni. Unaishia kucheka kimoyomoyo
Nadhani unajua kuwa "kitumbua" ni relative term...Hahaha sio utani kaka. Ama turudi mgombani tujipange upya? Inaogopesha.
Siku hizi hata vitumbua wifi hapiki tena, them old days!
Aisee wakuongeze pande moja hapo chaaap na kwa furaha ya kichanga cha Sky Eclat upeleke home kilo 5. Maini yasikose.Hommie nakusalimia nikiwa hapa Mamsera kwa Mwarabu. Shem wako Sky Eclat yuko maternity leave...
BTW sisi ambao hatuchukulii hela kwenye ATM ndo wanaume wenye hela au ndo matajri wa Dar?
What?Hahaha huko forex ni noma. Kuna mshkaji kapigwa $12, 000 in a week. Nimebaki namshangaa tu manake pole haitamsaidia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Happy una akili sanaAkikutajia unitag mkuu niwaambie wakufungulie piemu zao
Wewe wasema.Inaonekana wewe ni mfatiaji sana na una mengi ya kuongea juu yao..
😀