Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Halafu huyo ukute formula zote za kutafuta hela na kupata compound interest nzuri anazijua.
Ewaaaaah na anakwambia mm siwez kuoa mwanamke ambaye anasoma masomo ya Arts maaajabu juzi kwenye harusi yake ameoa mwanamke aliyeishia la saba nikasema maaajabu.


Anavyojua sasa Math hajawahi ingia na kitabu darasan alafu mwalm anayetegemewa kwa masomo ya biashara shule nzima.
 
Naona pm yangu imeanza kushambuliwa na warembo ...naomba muelewe me sio tajiri ila nakosa muda wa Kuchat kutokana na kazi yangu ya boda boda [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah[emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2]wewe tafadhali onea huruma mbavu zangu khaaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kevoo nafasi hiyo itumie
Watu wameanza kuchunguza id kama ni ya 2012 na ina post 10 hadi 100 zote za madini lakin anatoa like za kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…