Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] my charm una PhD ya uchokodhi
 
Uwiii. Nimejikuta namkumbuka Kaka yangu wa damu DellaPina ila shida yake huyu kaka wa mie kuandika ni shida na hata Likes hatoagi ye anapita kimya kimya tu labda umkute kwenye uzi wake pendwa wa Juventus special thread.
Vizuri wanyumbani tutajieni watu kama hao watusaidie sisi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naomba kujazia hapo.
Wanaume wenye pesa hata ukiwakataa wanakaa kimya. Wale njaa kali wenzangu ukimkataa anaanza kuwa mmbea mara akuongelee mafumbo. Wakati hujala elfu mbili yake.

Kumalizia hili wifi naomba hao wenye hela unipatie ID zao nikawasalimie piem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…