Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Hahaaa. Usijali Pacha nitakuwa nakukumbuka.

Ila pacha hii quote ya kipekee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sababu ni kama umechangia uzi. Hujaniquote.
Hahahaha hahahaha [emoji8] [emoji8] [emoji8] pacha uko makini sikuwa hata nmeona hahaha nmevurugwa asubuh asubhi
 
Kama ulikuwa hujui

Kuna wanaume hapa wanamiliki madorali mpaka unashangaa nataman niwatag lakini naona PM zaoo zitastack kama simu za Tecno.


Sifa zao
Huwa hawacomment ila wanalike tu.

Ni balaaaaaaaa huuhuuuu ngoja niishie hapaaa.

Lakini siwezi kuacha kumtag Jr maana yeye tajiri wa tunguli ana uwezo wa kugeuza makaratasi kuwa pesaa.


Wanaume matajiri Jf huwezi kumkuta hata siku moja anachit chat kama Mbao za Mawe au Daby.

Za kuambiwa changanya na zakoo.


Wanaume wenye madorali Jf leo tupo pamoja tumechoka hizi brand I'd kumbe hazifanani na wahusika alafu nyie mnaomiliki mikwanja mmejificha hamtaki kujulikana loooh kazi kweli kweli.




Mrs Jr.
Haya
Nime like tu
Nami nina hela
 
Back
Top Bottom