Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani kuanzia shingapi ndo unawekwa kwenye fungu la wenye nazo?Uringeeer
Yaliyomo yamo lakni....Ndo kazi yangu ulikuwa hujui nitapunguzaje wakat inanipa jeuri mjini
Spill the beans [emoji23][emoji23]Acha tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo kazi yangu ulikuwa hujui nitapunguzaje wakat inanipa jeuri mjini
My man, been ait brav.Brav Brav.. Wassuuup
Hajawahi mamyHivi hawajawahi kuja piem kwako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Halafu anzia kwenye kutuma hela za soda pm. Lakini sio elfu kumi sijui 30. Anzia laki hivii na kuendelea. Utaingia kwenye list.Napenda kutoa taarifa,hii ndio itakua comment ya mwisho,kuanzia sahivi ntakua nalike tu!
Afu sijui alinilaani yule?Spill the beans [emoji23][emoji23]
Tuna gundu kweli.Hajawahi mamy
Ama nna gundu nkaoge baharini
Sijui unigawie mmoja
Sijui vp arghhhhh
Hahaha,nashukuru kwa kunipa mbinu,na zoezi hili nategemea kulianzia pm kwako![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Halafu anzia kwenye kutuma hela za soda pm. Lakini sio elfu kumi sijui 30. Anzia laki hivii na kuendelea. Utaingia kwenye list.
Hahahaaa. Nisamehe bure kwa kweli. [emoji120]
Nilikufananisha na huyo NDUKI nikijua ndio weye banaa sababu kitambo mno sijakuona mitaa ya Jf hasa lile jukwaa lako pendwa la Picha.