Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Naomba kujazia hapo.
Wanaume wenye pesa hata ukiwakataa wanakaa kimya. Wale njaa kali wenzangu ukimkataa anaanza kuwa mmbea mara akuongelee mafumbo. Wakati hujala elfu mbili yake.

Kumalizia hili wifi naomba hao wenye hela unipatie ID zao nikawasalimie piem
Uwiiii nianze na yupi sjui wawili wanaanzia na M
 
Back
Top Bottom