Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole na Hongera pia Pacha. Kwa kuwa uzima upo ndio kitu cha muhimu.Kwema pacha
Mambo mengiiii km unga wa Ngano wa Azam
Amen dear1I pray for you my dear. 9C.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ulisema huwezi labda choda
Wifi majina yao basi pm.Umesharudiii
Uwiiii nianze na yupi sjui wawili wanaanzia na MNaomba kujazia hapo.
Wanaume wenye pesa hata ukiwakataa wanakaa kimya. Wale njaa kali wenzangu ukimkataa anaanza kuwa mmbea mara akuongelee mafumbo. Wakati hujala elfu mbili yake.
Kumalizia hili wifi naomba hao wenye hela unipatie ID zao nikawasalimie piem
Kuna mzigua mwezio sintaa kaa nimsahau.Salaam kaka
Sasa wii code za kazi gani?? Embu nipe pm kama vipi. M moja itakua kaka angu MshanaUwiiii nianze na yupi sjui wawili wanaanzia na M
Nimekuwa mtu wa kutoka dar sana....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Halafu nakudai
Wewe ni mtu wa sita unasema huwezi sahau mzigua mwenzangu. Alikutenda nini huyo ndugu yangu?Kuna mzigua mwezio sintaa kaa nimsahau.
Halafu wifi next weekend ntakua Dom[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wozzeeer
InshallahNimekuwa mtu wa kutoka dar sana....
Ahadi yako naikumbuka vizuri white worry out one day Yes....
Acha tu.Wewe ni mtu wa sita unasema huwezi sahau mzigua mwenzangu. Alikutenda nini huyo ndugu yangu?