Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Napenda kutoa taarifa,hii ndio itakua comment ya mwisho,kuanzia sahivi ntakua nalike tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Halafu anzia kwenye kutuma hela za soda pm. Lakini sio elfu kumi sijui 30. Anzia laki hivii na kuendelea. Utaingia kwenye list.
 
ila Demiss una utani tehteh kwahiyo tunaokesha tunachitchat ni makapuku jamani lol!!!


cc Smart911
Jaman Mahondaw wewe mwanamke bhn huwez kuwa kapuku Wanaume hahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sitak ugomvi ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaaa. Nisamehe bure kwa kweli. [emoji120]

Nilikufananisha na huyo NDUKI nikijua ndio weye banaa sababu kitambo mno sijakuona mitaa ya Jf hasa lile jukwaa lako pendwa la Picha.

Usjali my sweetlove nimeshakusamehe mwaya. Wanasema duniani wawili wawili mwayego.

Ni kweli jomoni waliniibia simu ndio mana sikuonekana jukwaa hilo muda kidogo maana library yote wamechukua my lovely.

Acha tu yani.
 
Back
Top Bottom