Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miss u dada akeeeee
Asante mdogo wangu mapugi hayo yamesababisha mpaka tumepewa banPole kwa ban jaman khaaa yani balaaa
Oii sasa !Miss u too love [emoji8]
Oii sasa !
Nikisikia mapugi namkumbuka Rachel Dangwa
[HASHTAG]#mapugi[/HASHTAG]
Tayri Cha mdeko nilikua na majukumu kidogoTurn on notificarion
Unaruhusiwa kumjibu kwa niaba yangu... ushasahau kiapo chetu?... katika shida na raha...Hubby mjukuu akikwambia neno ni busara kumjibu
Wewe mwenyewe ni shahidi yangu, right?Mabilioneaaa
Lakini wewe huna masifa si eti?
Left!Wewe mwenyewe ni shahidi yangu, right?
Laana nyingine mnajitafitia wenyewe... shauri zako.Left!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Laana nyingine mnajitafitia wenyewe... shauri zako.
Babu na mjukuu ni mtu na mchumbaake. Ulikuwa hujui kumbe?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna laana kubwa zaidi ya kuchunguliana na babu yako.