Kuna wanaume wana mapafu ya punda (wanaume kumbe bado wapo ila wachache)

Katoka jela huyo! Wamawake wenyewe walivyo rahisi cku hz unachovya kila sehemu, ndo nikeshe kifuani! Ananilipa? Marioo ndo wanafanyaga hivyo, co kwa mwenye mishe zake na mtuu hakikaw uhakika wa kupata dem wkt wwt
 
Mima wangu malaika wengine wote mnatafuta mabwana.Mwanamke anayejiheshimu hawezi kuandika kama hivo.WEWE MRAHISi hata maandishi yako yanaonekana.
Sio makosa yenu soon vyuma vitalegea ha ha ha ha na badooo
 
Nimeshakudharau Na ukiendlea naanika mambo yako yote.PIPA TUPU We
YAANI KAA HAPO HAPO, NITAKUJIA NA MAPAFU YA MBWA NIKUANIKE VIZURI, WE SI NDIO WOMANITY.
AU ACHA TU NIKUDHARAU.
 
We amini tu, haya ndio matendo ya malaika upoooo!!

Hahahaaaa!! Mbavu zangu.
Hahahahhaha.... Jamani malaika wetu huyu ni Shida.... Hapana chezea mapafu ya panda!! Kadetiwa kabla hajamuona Putin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…