A alaykum to all muslim na wale wenzentu wa imani tofauti na yangu tumsifu Yesu Kristo. Leo Jumapili tulivu nataka nitoe kijistori kidogo kinachohusu mahusiano yangu.
Nilianza mahusiano na mwanaume huyu september 12/2017 nakumbuka kitu kama hichi. Kiukweli mwanaume huyu alikuwa bora.
Basi mapenzi yaliendelea mpaka siku nikakutana nae titi fotati face to face he he heee. Huyu mwanaume ni shidaah kuanzia muonekano wake yani ni shida ni mwembamba, mweusi, mrefu kiasi ni muongeaji sana na mjuzi mno wa kubembeleza na kukufanya kujihisi mwanamke ukiwa nae.
Sasa balaa linakuja kwenye mambo yetu yale. Mwanaume anamichezo huyu sijapata kuiona tangu nizaliwe na kwenye game ukimuendekeza na kumuachia k anaweza kufanya mapenzi na wewe usiku kucha.
Chukua sifa zako kokote ulipo unadeserve kuwa mwanaume wa mwanamke yeyote aliyokamilika. Kiukweli ni mwanaume ambae alinifanya nifurahie mahusiano na kiukweli sijutii kuwa nae.
Sasa huyu kwangu mimi namuita mwanaume mashine all in all yote i like the way unavyonishauri mambo mema na yenye manufaa kwangu japo unatumia njia ambazo hata mimi zinanifanya nishindwe kukuelewa but thanks so much kwa hilo.
Thanks muwe na asubuhi tulivu