Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Na ubaguzi kwani hatuoni wengine wanavyobebishana humu tena unakuta ni bwana na wake zake na wanaoitana kaka Dada Shemeji wifi yaani ukoo mzima wanaonyesha mahaba yao mubashara sasa wengi humu ni ma fa fa fa ya mapenzi yamejaa wivu wivu tuKwan unadhan niubaguzi ????? Huu ni Wivu tuuu kapeace hamna kingine !!!.