Kuna wanaume wana mapafu ya punda (wanaume kumbe bado wapo ila wachache)

Kuna mjinga anakuoneeni wivu

Sio fair kinachoendelea humu kuna ubaguzi mbovu kabisa wengine fresh wanaachiwa wengine sasa ni ban na uzi kufutwa aiseeee
Acha tuuuuu ,,nimeelewa ivo ,,, kuna MTU ndio yupo nyuma ya hiii kitu ,,, wala hainisumbui sanaaaa .kwasababu Putin atabaki kua Putin ,, namima atabaki ivo ,nakapeace atabaki kua Kapeace !!
 
Mimi ndo kabisa km wananimendea wamechemka adhabu wanipe watakavyo

Hapa story tu kula kwenu
 
Nashangaaaa sana kapeace ,,, wakato hapa nistor kula kwenu !!!.

Lkn watu walivyoshupalia mweeee ,, mpaka nikasema Walitaka nani Azungumzwe ?????. Labda ndio watamkubali nakuona anawastahili hahahahah
 
Nimewaona humu viroho vilivyowasinyaa km vibamia unyafuzi
Yaaahhh ,nmeshindwa hata kuielezea kitu yaleo !!!

Uzi uliandikwa haujakiuka sheria ,, Uzi wakawaida sanaaaa...moment zakawaida sana.

Ila sababu kuna MTU anaaminika basi ni " embu niondolee koment ktk Uzi Fulani " ..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nashangaaaa sana kapeace ,,, wakato hapa nistor kula kwenu !!!.

Lkn watu walivyoshupalia mweeee ,, mpaka nikasema Walitaka nani Azungumzwe ?????. Labda ndio watamkubali nakuona anawastahili hahahahah
Yaani natamani nimpate huyo aliyefanya Huu ukatili

Ila kuna wachangiaji wazandiki humu tena ni wadada wanawashwa washwa sana kuna siku nitawanyea mpk wajute sipendagi unafiki mimi
 
Hats Mimi naamini ivo ,, mwanamke ndio yupo nyuma yahii kitu yakipuuzi !!..
 
Yaaahhh ,nmeshindwa hata kuielezea kitu yaleo !!!

Uzi uliandikwa haujakiuka sheria ,, Uzi wakawaida sanaaaa...moment zakawaida sana.

Ila sababu kuna MTU anaaminika basi ni " embu niondolee koment ktk Uzi Fulani " ..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wasituone tunacheka na kujimwayamwaya utafikiri kuna mtu aliitwa humu
 
Haahaaaa nahilo ndo swali kubwa kati yangu ,,wew na Mima !!.

Sijui wanahisi labda Mima au kapeace au Putin tulikua tunataka Koment zao ????? . duuuhhhh.

Nawapenda wake zangu ,mpendane ivo ivo
 
Back
Top Bottom