Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Acha tuuuuu ,,nimeelewa ivo ,,, kuna MTU ndio yupo nyuma ya hiii kitu ,,, wala hainisumbui sanaaaa .kwasababu Putin atabaki kua Putin ,, namima atabaki ivo ,nakapeace atabaki kua Kapeace !!Kuna mjinga anakuoneeni wivu
Sio fair kinachoendelea humu kuna ubaguzi mbovu kabisa wengine fresh wanaachiwa wengine sasa ni ban na uzi kufutwa aiseeee