Kuna wanaume wana mapafu ya punda (wanaume kumbe bado wapo ila wachache)

Kuna wanaume wana mapafu ya punda (wanaume kumbe bado wapo ila wachache)

Mima white cute

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Posts
740
Reaction score
1,305
A alaykum to all muslim na wale wenzentu wa imani tofauti na yangu tumsifu Yesu Kristo. Leo Jumapili tulivu nataka nitoe kijistori kidogo kinachohusu mahusiano yangu.

Nilianza mahusiano na mwanaume huyu september 12/2017 nakumbuka kitu kama hichi. Kiukweli mwanaume huyu alikuwa bora.

Basi mapenzi yaliendelea mpaka siku nikakutana nae titi fotati face to face he he heee. Huyu mwanaume ni shidaah kuanzia muonekano wake yani ni shida ni mwembamba, mweusi, mrefu kiasi ni muongeaji sana na mjuzi mno wa kubembeleza na kukufanya kujihisi mwanamke ukiwa nae.

Sasa balaa linakuja kwenye mambo yetu yale. Mwanaume anamichezo huyu sijapata kuiona tangu nizaliwe na kwenye game ukimuendekeza na kumuachia k anaweza kufanya mapenzi na wewe usiku kucha.

Chukua sifa zako kokote ulipo unadeserve kuwa mwanaume wa mwanamke yeyote aliyokamilika. Kiukweli ni mwanaume ambae alinifanya nifurahie mahusiano na kiukweli sijutii kuwa nae.

Sasa huyu kwangu mimi namuita mwanaume mashine all in all yote i like the way unavyonishauri mambo mema na yenye manufaa kwangu japo unatumia njia ambazo hata mimi zinanifanya nishindwe kukuelewa but thanks so much kwa hilo.

Thanks muwe na asubuhi tulivu
 
Hivyo hukutaka kingine kwake we ulipojua tu ni sukari ya warembo basi ukamtunuku.

Ila na sisi wanawake tuna vituko yaani sukari uilambe wewe, sifa utuletee sisi mbona kama haiusiani.

Au ndio unajipiga promo.
 
Ushauri wa nini sasa wakati hiyo sukari ni yake?

Mi najua ukiwa kwenye mahusiano tena yaliyo matamu kama hayo sidhani kama unaweza ukaanza kuwaza kuachwa. Haiji bana hiyo.
Apunguze kumpenda tu
 
Kwamba ke hawezi toa Huu ushuhuda????
Haiwezekani
mwanamke anayejiheshimu hawez kuanika mambo kama haya kwenye social networks tena kwa lugha aliyoitumia nadiriki kusema huyu ni mwanaume anampigia kampeni mwanaume mwenzake ili afuatwe PM au ni mwwnaume huyu anatafuta kiki kwa namna tofauti apate kupendwa humu na kutafutwa ahudumiwe, mjini hapa vyuma vimekaza watu wanatafuta namna ya ku survive kama dk shika.. hujui kwamba watu wa anaosema hapo wanaajiriwa kwa kazi hio tu na kulipwa?
wafanye mambo yanayompendeza Mungu na sio ukuwadi.
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] Nashawishika kukiamini ulichokiandika mkuu.

Numbisa kisome hiki [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
A alaykum to all muslim ..na wale wenzentu wa imani tofauti na yangu tumsifu yesu kristo.Leo jumapili tulivu nataka nitoe kijistori kidogo kinachohusu mahusiano yangu na mwanaume huyu wa JF.

Nilianza mahusiano na mwanaume huyu september 12/2017 nakumbuka kitu kama hichi.Kiukweli mwanaume huyu alikuwa bora kwangu najua humu wadada wengi mnamfahamu maana anaonekana kuwa sukari kwa warembo kwa vijimaneno vyake vya mahaba ila some times yes some times no.

Basi mapenzi yaliendelea mpaka siku nikakutana nae titi fotati face to face he he heeeee .Huyu mwanaume ni shidaah kuanzia muonekano wake yahni ni shida ..ni mwembamba,Mweusi ,mrefu kiasi,ni muongeaji sana na mjuzi mno wa kubembeleza;na kukufanya hujihisi mwanamke ukiwa nae sasa balaa linakuja kwenye mambo yetuuuu yaleeee.mwanaume anamichezoooo huyu sijapat kuiona tangu nizaliwe na kwenye game ukimuendekeza na kumuachia k anaweza kukuto.... usiku kuchaaa...

Chukua sifa zako kokote ulipooo unadeserve kuwa mwanaume wa mwanamke yeyote aliyokamilika .Kiukweli ni mwanaume ambae alinifanya niienjoi mahusiano na kiukweli sijutiii kuwa nae ingawa nimekutana nae humu.,

Sasa huyu kwangu mimi namuita mwanaume mashine all in all yote i like the way unavyo nishauri mambo mema na yenye manufaa kwangu japo unatumia njia ambazo hata mimi zinanifanya nishindwe kukuelewa but thanks so much kwa hilo.a

Special 4 u ...........UMESHAJIJUA NAJUA

Basi hapo wapo watakaotaka waende kujionea kwa macho......yaliyomo yamooooo..Maana wanawake kwa kupenda kujionea hamjamboo

Nimeandika post yangu kwa niaba ya muhusika sasa utakaekuja kucoment hapa upupu sitakuacha hata sekunde moja ukicoment upupu utajibiwa upupu kama uliouandika....the news is that

Thanks muwe na asubuhi tulivu
Dada wewe kiboko kumbe ndiyo maana Mchizi Maarifa alikulalamikia ndiyo kweli baada ya kukutana ukamuachia Mbunye... Ila huyu Jamaa nasikia asilimia kubwa ya Wadada wa JF amewatafuna sana na wengine kuwaahidi kuwao mpaka wengine huwa wanamhonga wenyewe Yaani Jamaa anajua kutumia karama ya Kanda ya Ziwa...
 
Kumbe dudu mnalipenda sana sasa why mnazingua sanaaaaa wengine hujibu matusi mnapotongozwa?
 
Haiwezekani
mwanamke anayejiheshimu hawez kuanika mambo kama haya kwenye social networks tena kwa lugha aliyoitumia nadiriki kusema huyu ni mwanaume anampigia kampeni mwanaume mwenzake ili afuatwe PM au ni mwwnaume huyu anatafuta kiki kwa namna tofauti apate kupendwa humu na kutafutwa ahudumiwe, mjini hapa vyuma vimekaza watu wanatafuta namna ya ku survive kama dk shika.. hujui kwamba watu wa anaosema hapo wanaajiriwa kwa kazi hio tu na kulipwa?
wafanye mambo yanayompendeza Mungu na sio ukuwadi.
Huyo nimwanamke ,mwenye kazi nakipato chake ,,asoishi kwakutegemea MTU .
 
Back
Top Bottom