Nauliza hili swali wanaume wenzengu,kuna baadhi yenu wanaoshindwaga kutumia Condomu kama mimi?
Yaani hata ningevaa tatu kwa mpigo mwisho wa siku huwa zinaishia kupasuka,
Sina uwezo kukojoa ndani ya ndomu,ninaweza hata kukaa zaidi ya saa zima kitu kinashindwa kuachia,matokeo yake ni kugombana na muhusika na nikilazimasha condomu itapasuka
Lakini ngoma ikiwa kavukavu hamna tatizo lolote lile dk 30 mpaka 45 kitu na raha zake
Why Angaza na siyo AghakanAngaza is calling somebody
Niliamua kufanya hivy mku,maana kuna wakati nakuwaga viwanja nakutana na mademu wakali huwa nasema wewe swala pita tu mimi simba sina menoTafuta mwanamke mzuri asiye malaya na mzima owa weka ndani sii ni hivyo tu mkuu, kwahiyo mi naona hili suala la kondomu na makeke kibao tuwaachie vijana wa ovyo wanao angaika.
Kutumia Condom ni sawa na kupiga punyeto.Nauliza hili swali wanaume wenzengu,kuna baadhi yenu wanaoshindwaga kutumia Condomu kama mimi?
Yaani hata ningevaa tatu kwa mpigo mwisho wa siku huwa zinaishia kupasuka,
Sina uwezo kukojoa ndani ya ndomu,ninaweza hata kukaa zaidi ya saa zima kitu kinashindwa kuachia,matokeo yake ni kugombana na muhusika na nikilazimasha condomu itapasuka
Lakini ngoma ikiwa kavukavu hamna tatizo lolote lile dk 30 mpaka 45 kitu na raha zake
Hapo umefanya maamuzi mzauri mkuuNiliamua kufanya hivy mku,maana kuna wakati nakuwaga viwanja nakutana na mademu wakali huwa nasema wewe swala pita tu mimi simba sina meno
Mimi huwa nazitengeneza mwenyeweNjoo nikupe machimbo ya kupata Arvs kwa haraka
Mikwara tu hii ile we utakua mid 30'sMiaka 78 hapa. Sijawahi kutumia kondomu tangu nizaliwe - na sijui inakuwaje mpaka mtu unafakamia mbususu huku umevaa nailoni. Ni kwamba hamuaminiani ama? Na kwa nini mnagegedana wakati hamuaminiani?
Sijawahi kupata ugonjwa wa zinaa hata kipele tu hakuna. AIDS inaingia miaka ya 80 nilikuwa mkuu wa shule moja ya sekondari huko Kagera nikiwa kwenye peak; na wenzangu wengi waliteketea. Wengi kweli kweli!
Siri ni kutopenda kuloweka hovyo hovyo. Nilikuwa na uwezo wa kuwa na pisi moja hata kwa miaka mitano - totally loyal; na nilikuwa na codes zangu kuhakikisha kuwa sichapiwi na hatimaye kuungwa kwenye gridi ya taifa. Hata nilipokuja kupata pisi ya kuoa nilihakikisha kuwa naoa pisi ambayo tunafanana misimamo - tena marafiki wa kufa na kuzikana; na washikaji wa kupigiwa mfano!
Ukiweza kujitambua na kuudhibiti uhayawani wa ngono utaishi kwa amani, kujiamini na utaheshimika. Maisha! ๐๐ฟ
Condom sio kitu kibaya kuna viwanja vinaleta hamasa sema huwezi cheza pekuTafuta mwanamke mzuri asiye malaya na mzima owa weka ndani sii ni hivyo tu mkuu, kwahiyo mi naona hili suala la kondomu na makeke kibao tuwaachie vijana wa ovyo wanao angaika.
Nakazia..Kinga ni bora kuliko tiba