Kuna wanaume wanashindwaga kutumia condomu kama mimi?

Kuna wanaume wanashindwaga kutumia condomu kama mimi?

Miaka 78 hapa. Sijawahi kutumia kondomu tangu nizaliwe - na sijui inakuwaje mpaka mtu unafakamia mbususu huku umevaa nailoni. Ni kwamba hamuaminiani ama? Na kwa nini mnagegedana wakati hamuaminiani?

Sijawahi kupata ugonjwa wa zinaa hata kipele tu hakuna. AIDS inaingia miaka ya 80 nilikuwa mkuu wa shule moja ya sekondari huko Kagera nikiwa kwenye peak; na wenzangu wengi waliteketea. Wengi kweli kweli!

Siri ni kutopenda kuloweka hovyo hovyo. Nilikuwa na uwezo wa kuwa na pisi moja hata kwa miaka mitano - totally loyal; na nilikuwa na codes zangu kuhakikisha kuwa sichapiwi na hatimaye kuungwa kwenye gridi ya taifa. Hata nilipokuja kupata pisi ya kuoa nilihakikisha kuwa naoa pisi ambayo tunafanana misimamo - tena marafiki wa kufa na kuzikana; na washikaji wa kupigiwa mfano!

Ukiweza kujitambua na kuudhibiti uhayawani wa ngono utaishi kwa amani, kujiamini na utaheshimika. Maisha! 🙏🏿
Mimba uliikwepa vipi akiwa danger?
 
Mimi nikivaa hizo vitu haweza kwenda mda mrefu zaidi hadi nashindwakuelewa nafanya nn natokaga kweny uharisia wa tendo
 
Utakuwa unatumia zile za Bure zinazowekwa kwenye vyoo vya ma bar
 
Back
Top Bottom