King Victor
JF-Expert Member
- Feb 19, 2016
- 463
- 293
Mkitongozwa mnasumbua mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeitika mkuu....Hahahaha we mzee wewe
Wewe uko vizuri acha wanaosubiri aanze kuimbiwa njiwaaa. Kitu umeikuta tu hapo hukununua gharama ya kusafisha hata mia haizidi kwa sabuni ya magadi , ukiona muelekeo sio utoe
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna mmoja nilienda kusalimia kwake nikachelewa kurud ikabid nilale kwake ilipofika asubuh nikashangaa tunagegedana sijui hata alinitongoza saa ngapi?
Maendeleo hayana chamaWanaume wengine bwana,akianza kukutongoza au njia ambazo wanatumia kukutongoza ni vituko,huwa nabaki kushangaa kwa ukweli
Angalia hapa
1,Huyu yeye anakuomba namba, unampa,yeye anakuwa anakutumia pesa, hata bila kuomba unashtukia tu imethibitishwa,ukiuliza anakwambia nimekutumia tu,basi baada ya siku kadhaa anakwambia,nina hamu na wewe tukutane wapi ,au njoo Lodge Fulani au yaani hapo anataka gemu tu,unafikiria huyu mwanaume amenitongoza lini,D.D.D.D.D
2,Huyu mnakutana mnabadilishana namba,mnakuwa mnapiga stories za kawaida tu,siku moja anakuomba uende kwake kumsalimia,kufika anataka penzi,sasa unajiuliza umenitongoza lini yaani nachekaga wanaume wana mambo
3,Huyu yeye anaanza kukuita baby,sweet,love,mpenz,hata hajakutongoza,mwisho wa siku utakwambia njoo lodge fulani,unashangaa sasa huyu amenitongoza lini?
4,Huyu yeye anakutongoza na misifa juu,mara ajipigishe simu,anaulizia miradi,mara anauliza kuhusu gari lake ,hahahahaha,hapo anataka usikie alivyonavyo umkubalie mapema
5,Huyu yeye anakupenda,sijui anaogopa kukutongoza, anapenda sana kampani,kusindikizana njiani,baada ya siku kadhaa utasikia anawambia watu huyo ni dem wangu nilishakula zamani,hahahahaha yaani wanaume wanavituko jamani
Ongezea zingine.......
Hujawai niangusha mwana hata kidogo.Sema na wewe dada unafeli. Mpaka mtu mmeanza mazoea na kubadilishana hadi namba kuna jipya gani ambalo hujaelewa hapo? Au ndio unabalehe?
Kingine mfano huyo wa miamala anakutumia wewe unakula tu hela unategemea kuwa anatoa sadaka au?
Jiongeze wewe ndio tatizo na sio wanaume wanaokutaka.
Yente bablai. Ngoja niagize usipolipa nakopa Branch [emoji16]Hujawai niangusha mwana hata kidogo.
Kamata Konyagi hapo Triple A nalipia.
Ha ha haaa mwake mwakeYente bablai. Ngoja niagize usipolipa nakopa Branch [emoji16]
Safimadem wa bongo bhn... sasa kama kuna njia unayoona ndio sahihi ya wewe kutongozwa kwa nini usimsaidie anaejaribu kukutongoza kuliko kumsubiria afanye makosa...very immature.
nashukuru umejicheka ...Hahahahaha, nimecheka kwa sauti