Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

Yani tulikuwa marafiki story ndani zimenoga kucheki saa imeenda yani nitoke Airport mpaka chanika haikuwa rahisi ikabidi nilale. Ndo ikawa hivyo
Wewe uko vizuri acha wanaosubiri aanze kuimbiwa njiwaaa. Kitu umeikuta tu hapo hukununua gharama ya kusafisha hata mia haizidi kwa sabuni ya magadi , ukiona muelekeo sio utoe
 
Ukiona unatongozwa tongozwa sana ujue wanaume tumeshahadithiana kuwa unaachia kwa wepesi!
 
Maendeleo hayana chama
 
Hujawai niangusha mwana hata kidogo.
Kamata Konyagi hapo Triple A nalipia.
 
madem wa bongo bhn... sasa kama kuna njia unayoona ndio sahihi ya wewe kutongozwa kwa nini usimsaidie anaejaribu kukutongoza kuliko kumsubiria afanye makosa...very immature.
 
Kuna mmoja bana ninaweka ela mpesa kupitia yeye ana ofisi ya mpesa.

Basi ile tu kuchukua namba kwa ajili ya biashara, jioni kaomba nikamnunulie robo nyama.

Kwa kuwa nina njaa nikanunua kilo tukala wote hapa hapo mjini karibu na kazi.

Mpaka sijawahi kumtongoza lakini nilishamla mwaka sasa kila wiki nagegeda mara tatu au nne.
 
Kutongoza ni kupoteza muda siku hizi, hadi ukubaliwe kuna wahuni washakuja na hizo trick na unakuta washakula mara kibao kipindi wewe unasubiri jibu lako kifala fala. siku hzi hata kwa juisi ya muwa tu unakulla papuchi
 
Wewe mtongozo unauchukuliaje? unajua lugha ya miili yenu ni mtongozo tosha na wengi sana wamefanikiwa, yale mambo ya kuambiana huja badae tena baada ya siku kadhaa

Jiulize watu wanasafiri pamoja baada ya kukutana kwenye siti lakini mwishoni hugegedana hawa unawaweka kundi gani hahaha!
 
madem wa bongo bhn... sasa kama kuna njia unayoona ndio sahihi ya wewe kutongozwa kwa nini usimsaidie anaejaribu kukutongoza kuliko kumsubiria afanye makosa...very immature.
Hahahahaha, nimecheka kwa sauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…