Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

Siku hizi HATU YONGOZI, tuna vuta TU,
Una liwa na biashara ina ishia hapoo
 
Ubakaji huo sasa,tongoza mpaka mwanamke akubali kuwa,aridhie kukuzawadia penzi,kubakana huko umeenjoy nini sasa
Kwa kujikuta special sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Eti mwanamke akikupa ndio kakuzawadia
 
Ugumu gani??? Mbona sisi huwa tuna wapa majibu ya hapo kwa hapo
Ungemjibu tu mfano Dada umekomaa mno sikuwezi basi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kuna mmoja nilienda kusalimia kwake nikachelewa kurud ikabid nilale kwake ilipofika asubuh nikashangaa tunagegedana sijui hata alinitongoza saa ngapi?
Hata hivyo alikustahi sana yaani usiku kucha anakuja kula mzigo asubuhi?
 
wanawake bana........kwa mbinu hizo kuna wengine wanaikingia kwenywe 18.....na mzigo unapigwa kibingwaa....
 
mi hujaniweka mi nkikutaka nakwambia hapoahapo yaan sikwepeshi............................
 
Kutongoza is overrated...mnaopendana kuna vijimaneno mkiambiana tu basi reaction inakuwa positive na wala huitaji kuandika gazeti au kusoma taarifa ya habari...

Mathalani "I think i like you", "Can we be more than just friends" etc
 
I hope hii sala inawaingiza na ndugu zako wote wa kike mkuu .
Hongera unahitaji tuzo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lakini si anakula Mchongo tuache na mbinu zetu ......... .........over
 
Kutongoza is overrated...mnaopendana kuna vijimaneno mkiambiana tu basi reaction inakuwa positive na wala huitaji kuandika gazeti au kusoma taarifa ya habari...

Mathalani "I think i like you", "Can we be more than just friends" etc
Kweli kabisa! πŸ‘
 
Hata hivyo alikustahi sana yaani usiku kucha anakuja kula mzigo asubuhi?
Demiss ni kiboko huenda ile kuingia kitandani hahesabu, labda kilevi cha Wine ya zabibu pale Hombolo inakata mpaka mawasiliano sembse mtandao. Kufika asubuhi ndipo akatoa ushirikiano ndio maana kahesabu cha alfajiri
 
Yupo humu jamiiforum aje ajione hapaaa
wewe Mdada ni kiboko utaacha watu wagongane nyumbani kwako kwani nimefungua hizo Like 93 ni vidume vya mbegu tu na nyingi kuliko mleta Mada
 
Mbobezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…