Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

Wanawake tumeumbwa tofauti na wanaume jamani,kwa kawaida mwanaume ndo anatakiwa ajiongeze kama amependwa ila kama unampenda mtu mweleze direct ili uingie moyoni,na kama mazoea yamezidi tongoza tu,mwanamke anampenda sana mwanaume jasiri
 
Nilichosema ni ukweli mtupu.
Kweli kabisa wanaume sasa hivi hawatongozi sijui hawajiamini?

Mnatafunika kirahisi.

Mimi nilugegeda manzi Fulani bila kutongoza. Story tu. Hitaji kubwa LA mwanaume ni k tu mengine ziada
 
Hii inaitwa black and white hakuna kuremba
 
Hebu tusaidie ulitaka afungukeje
 
Wanawake tumeumbwa tofauti na wanaume jamani,kwa kawaida mwanaume ndo anatakiwa ajiongeze kama amependwa ila kama unampenda mtu mweleze direct ili uingie moyoni,na kama mazoea yamezidi tongoza tu,mwanamke anampenda sana mwanaume jasiri
Kwa tafsiri sisisi huwa tunasemahivi:

Well caught[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mmoja nilienda kusalimia kwake nikachelewa kurud ikabid nilale kwake ilipofika asubuh nikashangaa tunagegedana sijui hata alinitongoza saa ngapi?
ulichelewaje na ww zilikuwa zimejaa!
 
KWANZA KUTONGOZA RAHISI SANA, TUNAAZA HIVI;; KWA WALE VIJA NA WADOGO
 
mbona yote ni mitongozo au unataka kusifiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…