Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake tumeumbwa tofauti na wanaume jamani,kwa kawaida mwanaume ndo anatakiwa ajiongeze kama amependwa ila kama unampenda mtu mweleze direct ili uingie moyoni,na kama mazoea yamezidi tongoza tu,mwanamke anampenda sana mwanaume jasiriJamani jamanii!! Naomba kuulizatu hivi wadada si mna moyo nanyi?? Mbona sasa mkiwa mnampenda mwanaume flanii hamtakagi kujionesha?? Mbona hampendagi kusema?? Au mnatarajia aote kua mnamtak/mna *m*u*p*e*n*d*a*[emoji1][emoji1]
Acheni hizo bna,, alaf mi naamini kuna mtu (me) anaweza kua anampenda sana mtu ila kwakua mazoea yamezidi..Ila kwakua wanaheshimiana..urafiki etc. Anahisi mtongozo utamchoresha anaamua kukausha na kutumia indirect ways[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23] my thoughts and opinions.
Nilichosema ni ukweli mtupu.
Kweli kabisa wanaume sasa hivi hawatongozi sijui hawajiamini?
Hii inaitwa black and white hakuna kurembaHATUHITAJI KUWATONGOZA, MAVAZI YENU NA NJAA ZENU ZINAONYESHA KABISA MLIVYO MALAYA.
MNASHINDIA KUVAA VISURUARI VYA KUBANA, MARA SIJUI VISKIN TIGHT, MARA MNATUACHIA MATITI NJE, KUJICHEKESHA NA KUOMBA VOCHA PAMOJA NA OUTING HAZIISHI.
MALIPO YENU NI KUWAGEGEDA, KUWAPA MIMBA AU UKIMWI, MTULELE HAO WATOTO HUKU MKIITWA NA KUJIITA SINGLE MOTHERS, WAKIKUA TUTAKUJA KUWACHUKUA WATOTO WETU!.
Hebu tusaidie ulitaka afungukejeKuna uyo dokta wa hospitali flani,alitokea kunisaidia tu,na kuwa ananijulia hali naendeleaje,mara honey unaendeleaje,mara mpenzi Mara mke wangu...mm nikawa napotezea tu...sasa kuna siku nilikuwa narudi kwenye vipimo nikamwambia nakuja na mama,
Sasa Hapo Ndo Alinishangaza na kunivunja mbavu maana aliniambia
"Sawa Lkn Usimwambie Mama Kuhusu Mahusiano Yetu"
Nilibaki Najiuliza Huyu Nae Kanitongoza Lini,Wanaume kwa Kujibebisha!!! Muwe Mnafunguka Acheni Kujirahisishia....
Bora akwambie anakupenda mtu ajue la kufanyaKwahiyo nyie mnatakaje? Akikwambia nakupenda hauamini
Asante kwa kunipenda
Mimi najua hujitongozi ila nimeolewa tayari!
Kama uzi unavyosema..jinsi wanaume wanavyotongozaMmmh sijaelewa una maanisha nini
Kwa tafsiri sisisi huwa tunasemahivi:Wanawake tumeumbwa tofauti na wanaume jamani,kwa kawaida mwanaume ndo anatakiwa ajiongeze kama amependwa ila kama unampenda mtu mweleze direct ili uingie moyoni,na kama mazoea yamezidi tongoza tu,mwanamke anampenda sana mwanaume jasiri
Elewa hilo sasa!Kuolewa siyo kesi. Tena ninyi tena duuh
Kama uzi unavyosema..jinsi wanaume wanavyotongoza
GoodSina namba hapo.
Mimi ni hufanya makubaliano, na inategemea na mwanamke.
Sometimes sitongozi ila anajitongozesha
ulichelewaje na ww zilikuwa zimejaa!Kuna mmoja nilienda kusalimia kwake nikachelewa kurud ikabid nilale kwake ilipofika asubuh nikashangaa tunagegedana sijui hata alinitongoza saa ngapi?
Hamuishiwi kusema Nina mtu tayar.binafsi nachukia hilo jibuBora akwambie anakupenda mtu ajue la kufanya
mbona yote ni mitongozo au unataka kusifiwa?Wanaume wengine bwana,akianza kukutongoza au njia ambazo wanatumia kukutongoza ni vituko,huwa nabaki kushangaa kwa ukweli
Angalia hapa
1,Huyu yeye anakuomba namba, unampa,yeye anakuwa anakutumia pesa, hata bila kuomba unashtukia tu imethibitishwa,ukiuliza anakwambia nimekutumia tu,basi baada ya siku kadhaa anakwambia,nina hamu na wewe tukutane wapi ,au njoo Lodge Fulani au yaani hapo anataka gemu tu,unafikiria huyu mwanaume amenitongoza lini,D.D.D.D.D
2,Huyu mnakutana mnabadilishana namba,mnakuwa mnapiga stories za kawaida tu,siku moja anakuomba uende kwake kumsalimia,kufika anataka penzi,sasa unajiuliza umenitongoza lini yaani nachekaga wanaume wana mambo
3,Huyu yeye anaanza kukuita baby,sweet,love,mpenz,hata hajakutongoza,mwisho wa siku utakwambia njoo lodge fulani,unashangaa sasa huyu amenitongoza lini?
4,Huyu yeye anakutongoza na misifa juu,mara ajipigishe simu,anaulizia miradi,mara anauliza kuhusu gari lake ,hahahahaha,hapo anataka usikie alivyonavyo umkubalie mapema
5,Huyu yeye anakupenda,sijui anaogopa kukutongoza, anapenda sana kampani,kusindikizana njiani,baada ya siku kadhaa utasikia anawambia watu huyo ni dem wangu nilishakula zamani,hahahahaha yaani wanaume wanavituko jamani
Ongezea zingine.......