Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

Wanaume wengine bwana,akianza kukutongoza au njia ambazo wanatumia kukutongoza ni vituko,huwa nabaki kushangaa kwa ukweli

Angalia hapa

1,Huyu yeye anakuomba namba, unampa,yeye anakuwa anakutumia pesa, hata bila kuomba unashtukia tu imethibitishwa,ukiuliza anakwambia nimekutumia tu,basi baada ya siku kadhaa anakwambia,nina hamu na wewe tukutane wapi ,au njoo Lodge Fulani au yaani hapo anataka gemu tu,unafikiria huyu mwanaume amenitongoza lini,D.D.D.D.D

2,Huyu mnakutana mnabadilishana namba,mnakuwa mnapiga stories za kawaida tu,siku moja anakuomba uende kwake kumsalimia,kufika anataka penzi,sasa unajiuliza umenitongoza lini yaani nachekaga wanaume wana mambo

3,Huyu yeye anaanza kukuita baby,sweet,love,mpenz,hata hajakutongoza,mwisho wa siku utakwambia njoo lodge fulani,unashangaa sasa huyu amenitongoza lini?

4,Huyu yeye anakutongoza na misifa juu,mara ajipigishe simu,anaulizia miradi,mara anauliza kuhusu gari lake ,hahahahaha,hapo anataka usikie alivyonavyo umkubalie mapema

5,Huyu yeye anakupenda,sijui anaogopa kukutongoza, anapenda sana kampani,kusindikizana njiani,baada ya siku kadhaa utasikia anawambia watu huyo ni dem wangu nilishakula zamani,hahahahaha yaani wanaume wanavituko jamani

Ongezea zingine.......
Sijawahi kutongoza na naamini sijui kutongoza
 
af wadada weng mkiambiwa nakupenda direct rahis san kukutaa..
dawa yenu ndio iyo iyo danganya toto!!
 
Kuna mmoja nilienda kusalimia kwake nikachelewa kurud ikabid nilale kwake ilipofika asubuh nikashangaa tunagegedana sijui hata alinitongoza saa ngapi?
Hii ni kawaida sana mbona....huwezi zuia nyege hapo
 
Wanaume wengine bwana,akianza kukutongoza au njia ambazo wanatumia kukutongoza ni vituko,huwa nabaki kushangaa kwa ukweli

Angalia hapa

1,Huyu yeye anakuomba namba, unampa,yeye anakuwa anakutumia pesa, hata bila kuomba unashtukia tu imethibitishwa,ukiuliza anakwambia nimekutumia tu,basi baada ya siku kadhaa anakwambia,nina hamu na wewe tukutane wapi ,au njoo Lodge Fulani au yaani hapo anataka gemu tu,unafikiria huyu mwanaume amenitongoza lini,D.D.D.D.D

2,Huyu mnakutana mnabadilishana namba,mnakuwa mnapiga stories za kawaida tu,siku moja anakuomba uende kwake kumsalimia,kufika anataka penzi,sasa unajiuliza umenitongoza lini yaani nachekaga wanaume wana mambo

3,Huyu yeye anaanza kukuita baby,sweet,love,mpenz,hata hajakutongoza,mwisho wa siku utakwambia njoo lodge fulani,unashangaa sasa huyu amenitongoza lini?

4,Huyu yeye anakutongoza na misifa juu,mara ajipigishe simu,anaulizia miradi,mara anauliza kuhusu gari lake ,hahahahaha,hapo anataka usikie alivyonavyo umkubalie mapema

5,Huyu yeye anakupenda,sijui anaogopa kukutongoza, anapenda sana kampani,kusindikizana njiani,baada ya siku kadhaa utasikia anawambia watu huyo ni dem wangu nilishakula zamani,hahahahaha yaani wanaume wanavituko jamani

Ongezea zingine.......
Itakuwa Una miaka 17 maliza Kwanza shule
 
Kuna mmoja nilienda kusalimia kwake nikachelewa kurud ikabid nilale kwake ilipofika asubuh nikashangaa tunagegedana sijui hata alinitongoza saa ngapi?
Haukuleta utaratibu wa sitaki nataka kumpima ubavu wake wa kusaka papuchi?
 
Mkuu wanawake wanatongoza kama kawaida, inabidi tu umsikilize lkn ndo hakuna namna unampa support ya kumrahisishia mazungumzo yake kwamba its ok, its ok. Then unambadilishia mazungumzo kwa kumsifia sifia kdg ili asiji-feel sad. Tena unaweza kusema kutongoza kuna mfanya awe na maumivu zaidi kwa boy wake kama vile wanaume wanavyoji-feel mwanamke uliemtongoza kwa juhudi akawa anakuzingua.

Just be a smart boy, with a polite language, looking nice, biz na kazi zako na kama unatumia mitandao ya kijamii (insta + fb) wanakutext kueleza hisia zao.

NB: wanawake ni rahisi kwao kumtongoza mwanaume ambae yupo smart kwa kupitia text/msg.

Mfano: "(my brother alinambia)"
-Wanaanza kukuomba namba ya Whatsapp
-Baadae anakutumia picha zake umsifie sifie.
-Baadae wifi hajambo, wewe kaka mzuri
-lini unakuja kwetu, nataka ukate kiu yangu
-Naomba nizae mtoto na wewe nitalea mwenyewe
-Basi anajisifia sifia tu, alivyo mpole, tabia njema, upendo wa dhati, muaminifu etc
Sawa kabisa mkuu
 
Kuna mmoja nilienda kusalimia kwake nikachelewa kurud ikabid nilale kwake ilipofika asubuh nikashangaa tunagegedana sijui hata alinitongoza saa ngapi?
Hii comment nzuri kuliko post [emoji39]
 
Mwanamke ukiona madhaifu yote hayo kwa mwanaume ujue roho yako haijampenda...hivyo unakua unataka mtu aongee sana ili upate influence au kitu cha kumpendea.....
Aisee mwanamke akikupenda hutumii nguvu kabisa..hivi hujawahi kuona watu wanakutana siku ya kwanza tena bahati mbaya...wanaangaliana tu na hapohapo wanapendana.....hahahaha......
Mwanamke alievutiwa na wewe huwa anatengeneza mazingira ambayo mwanaume yoyote ataelewa tu.....yaani hata bila kudanganyana maneno mengi.....Yaani unaweza msichana akakukubali kirahisi mpaka ukaona muujiza manake wakati huohuo anawachinjia mbali watu ambao ulihisi wako mbele yako kimaendeleo miaka kumi....

Wanawake wengi wanaosumbua, wanaotaka mtongozo mrefu, waambiwe maneno mengi..nahisi wengi wanakua Sio mahusiano ya kwanza au ya pili,Waliishatendwa na watu ambao waliwaamini hivyo Wanakuwa waoga kukubali kirahisirshisi sababu ya kutaka uhakika na kuogopa kuumizwa....

ALL IN ALL mapenzi hayana formula
 
Kuna mmoja nilienda kusalimia kwake nikachelewa kurud ikabid nilale kwake ilipofika asubuh nikashangaa tunagegedana sijui hata alinitongoza saa ngapi?
Kama ni dar hakuna sehemu utakayoenda useme umechelewa kurudi kwasababu usafiri upo mda wote otherwise na wewe ulikuwa unataka enheeeee! Hebu tuambie mlirudia tena au mliishia hiyo mara moja?
 
Wanaume wengine bwana,akianza kukutongoza au njia ambazo wanatumia kukutongoza ni vituko,huwa nabaki kushangaa kwa ukweli

Angalia hapa

1,Huyu yeye anakuomba namba, unampa,yeye anakuwa anakutumia pesa, hata bila kuomba unashtukia tu imethibitishwa,ukiuliza anakwambia nimekutumia tu,basi baada ya siku kadhaa anakwambia,nina hamu na wewe tukutane wapi ,au njoo Lodge Fulani au yaani hapo anataka gemu tu,unafikiria huyu mwanaume amenitongoza lini,D.D.D.D.D

2,Huyu mnakutana mnabadilishana namba,mnakuwa mnapiga stories za kawaida tu,siku moja anakuomba uende kwake kumsalimia,kufika anataka penzi,sasa unajiuliza umenitongoza lini yaani nachekaga wanaume wana mambo

3,Huyu yeye anaanza kukuita baby,sweet,love,mpenz,hata hajakutongoza,mwisho wa siku utakwambia njoo lodge fulani,unashangaa sasa huyu amenitongoza lini?

4,Huyu yeye anakutongoza na misifa juu,mara ajipigishe simu,anaulizia miradi,mara anauliza kuhusu gari lake ,hahahahaha,hapo anataka usikie alivyonavyo umkubalie mapema

5,Huyu yeye anakupenda,sijui anaogopa kukutongoza, anapenda sana kampani,kusindikizana njiani,baada ya siku kadhaa utasikia anawambia watu huyo ni dem wangu nilishakula zamani,hahahahaha yaani wanaume wanavituko jamani

Ongezea zingine.......
Wanawake mna wakati mgumu kwenye mahusiano hata ujisemeleshe vipi,utaona kila aina ya utongozaji ni sawa maana kila mtu ana akili yake lakini hao wote na hivyo vituko huna namna ya kuwakataa wala kujifanya wewe ndo mjanja maana mfanye yote tutabaki kua juu,mmekua wengi zaidi ya mala tatu yetu wanaume,sisi wenyewe tunaijua hali yenu na madhaifu ila tuna mioyo mikuu tunanyamaza
 
Asante kwa Kuwa muwazi....! Mwambie pia wanaume tumekuwa wachache pamoja na uchache huu wengine tena wamekuwa Mabwabwa, Yaani idadi inazidi kushuka chini , wakibahatika kukutana na mwanaume kama Mimi tusio jua Kutongoza, hutakiwi kujiuliza Mara mbili wewe kubali tuu....
 
Back
Top Bottom