Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

Unasubiri kuambiwa nakupenda hahaha Nani Ana MDA Huo????wa kumwambia nakupenda mwanamke ambaye humpendi bali unamtamani kingono?????

Mimi na umri huu wanawake niliowaambia nawapenda hawazidi watano na Kati ya hao watano watatu nilikuwa na mahusiano nao ya kudumu lakini idadi ya wanawake niliolala nae Ni zaidi ya 30...

Najaribu kukupa picha tu kwamba mtongozaji mzuri anatumia mbinu namba mbili kwa uzoefu wa hali ya juu kupata Mwanamke wa kupotezea mda ila atawaambia wanawake wachache sana nakupenda tena itatoka moyoni..

Of course kuna wanaume hawajui kutongoza wanadhani pesa ndo kila kitu lakini ukimkuta fundi wa kutumia hiyo namba mbili utatombw* vzr tu utake usitake.
 
Wanaume wengine bwana,akianza kukutongoza au njia ambazo wanatumia kukutongoza ni vituko,huwa nabaki kushangaa kwa ukweli

Angalia hapa

1,Huyu yeye anakuomba namba, unampa,yeye anakuwa anakutumia pesa, hata bila kuomba unashtukia tu imethibitishwa,ukiuliza anakwambia nimekutumia tu,basi baada ya siku kadhaa anakwambia,nina hamu na wewe tukutane wapi ,au njoo Lodge Fulani au yaani hapo anataka gemu tu,unafikiria huyu mwanaume amenitongoza lini,D.D.D.D.D

2,Huyu mnakutana mnabadilishana namba,mnakuwa mnapiga stories za kawaida tu,siku moja anakuomba uende kwake kumsalimia,kufika anataka penzi,sasa unajiuliza umenitongoza lini yaani nachekaga wanaume wana mambo

3,Huyu yeye anaanza kukuita baby,sweet,love,mpenz,hata hajakutongoza,mwisho wa siku utakwambia njoo lodge fulani,unashangaa sasa huyu amenitongoza lini?

4,Huyu yeye anakutongoza na misifa juu,mara ajipigishe simu,anaulizia miradi,mara anauliza kuhusu gari lake ,hahahahaha,hapo anataka usikie alivyonavyo umkubalie mapema

5,Huyu yeye anakupenda,sijui anaogopa kukutongoza, anapenda sana kampani,kusindikizana njiani,baada ya siku kadhaa utasikia anawambia watu huyo ni dem wangu nilishakula zamani,hahahahaha yaani wanaume wanavituko jamani

Ongezea zingine.......
Nashkuru njia yangu haipo hapo,,

Haijawai niangusha,,

Mwendo both team to score "GG"

Code: mpira mfukoni umejishindia
 
Kuna mmoja nilienda kusalimia kwake nikachelewa kurud ikabid nilale kwake ilipofika asubuh nikashangaa tunagegedana sijui hata alinitongoza saa ngapi?
Safi saana Demiss,mambo yanakuja automatic,watu wengine sijui wanataka tuwatongozeje,[emoji3]
 
Muda mwingine utoe msaada namna ya wanawake wengi wanavyopenda tongozo liweje?

Mm sipend kutongoza mwanamke afu aniyumbishe sana, akija kukubali siwez kudumu nae.
Yaani wewe na Mimi tunafanana.. Yaani demu nimtongoze anizungushe weee basi akikubali namtia mpini wa kutosha na namuacha kabisa.. huwa naamini katika mapenzi tangia siku ya kwanza au majuma mawili ya kwanza.. nikipata usumbufu nagonga nasepa zangu na hanioni tena..
 
UKIMUONA DEMU UNAYE MPENDA TU WEWE LIA SANA KIUKWELIKWELI

JIGARAGAZE CHINI. ATASHANGAA THEN ATAKUONEA HURUMA.

ATAKUJA KUKUULIZA KULIKONI. HAPO SASA MSIFIE SANA

ANA HURUMA AMBAYO HAIPO HAPA DUNIANI, HUJUI CHA KUMLIPA

TANGU AKUSAIDIE MAMBO SWAFI,
KWA HIYO TUUNGANISHE VIKOJOLEO, KWA KURENGANA
 
Hii thread haijanibariki... ngoja niende zangu jukwaa la wakubwa
 
Wanawake nao hamjui kutongoza wanaume;


1-eti anapiga makofi,panua panua miguu, kujipitisha, mara anaomba hela

2- mara nifanyie mpango wa nauli

3- mara sina vouher

4- shangazi anaumwa Morogoro

5- mara naomba finyango mbili za nyama mwanangu hataki maharage,

6 Mume wangu hajarudi ana funguo naomba kupumzika hapa kwako lakini usinifanye.

7-Una roho nzuriii

8-kwa visichana sasa mie sijui watu wanatombwaje nionyeshe basi
 
Aiseee Sikumbuki Mara ya mwisho kutongoza ilikua lini..

Kwanza wanawake wenyewe wa wakuwatongoza Wapo miaka Hii kweli?
Me sijaona
 
Hebu nipe demu mmoja anayesikilizaga tena ngonjera siku hizi. Zamani tulidanganyana ati; Sijalala tangu nimekuona pale msibani kwa mjombako. Miaka ishapita 2. Wewe demu unajibu, mimi sijala tangu siku hiyo. Tiyari mshakubaliana hapo. Leo nenda na ngonjera hizo kama hata salam yako itapokelewa.
Nenda na mkoko wako, timua vumbi nyingi mwambie tu, niko guest flan tiyari unamwona. Hamjui hela ina language flan inakusemea weye mwenye nazo?
With a thick wallet, yu can will all the girls in town. Asikudanganye mtu ati wajua nimeolewa, wajua nina bf mkali. Mbele ya wallet na mkoko hakuna mwanamke mbishi wala anayeshangaa ujio wako kwa maisha yake.
Every woman huyeyuka mbele ya wallet. Bisha tuone
 
Jamani jamanii!! Naomba kuulizatu hivi wadada si mna moyo nanyi?? Mbona sasa mkiwa mnampenda mwanaume flanii hamtakagi kujionesha?? Mbona hampendagi kusema?? Au mnatarajia aote kua mnamtak/mna *m*u*p*e*n*d*a*[emoji1][emoji1]

Acheni hizo bna,, alaf mi naamini kuna mtu (me) anaweza kua anampenda sana mtu ila kwakua mazoea yamezidi..Ila kwakua wanaheshimiana..urafiki etc. Anahisi mtongozo utamchoresha anaamua kukausha na kutumia indirect ways[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23] my thoughts and opinions.
Mkuu wanawake wanatongoza kama kawaida, inabidi tu umsikilize lkn ndo hakuna namna unampa support ya kumrahisishia mazungumzo yake kwamba its ok, its ok. Then unambadilishia mazungumzo kwa kumsifia sifia kdg ili asiji-feel sad. Tena unaweza kusema kutongoza kuna mfanya awe na maumivu zaidi kwa boy wake kama vile wanaume wanavyoji-feel mwanamke uliemtongoza kwa juhudi akawa anakuzingua.

Just be a smart boy, with a polite language, looking nice, biz na kazi zako na kama unatumia mitandao ya kijamii (insta + fb) wanakutext kueleza hisia zao.

NB: wanawake ni rahisi kwao kumtongoza mwanaume ambae yupo smart kwa kupitia text/msg.

Mfano: "(my brother alinambia)"
-Wanaanza kukuomba namba ya Whatsapp
-Baadae anakutumia picha zake umsifie sifie.
-Baadae wifi hajambo, wewe kaka mzuri
-lini unakuja kwetu, nataka ukate kiu yangu
-Naomba nizae mtoto na wewe nitalea mwenyewe
-Basi anajisifia sifia tu, alivyo mpole, tabia njema, upendo wa dhati, muaminifu etc
 
Kumbe ukiweka mazoea na jinsia tofauti mixer kuomba/kutoa namba unakuwa umehalalisha kutongozwa?
Mimi sio ndugu yako, wala hatufanyi kazi pamoja wala biashara pamoja. Tumekutana tu tukafahamiana na kubadilishana namba.

Automatically wewe ulieombwa namba inatakiwa ujiongeze kuwa tayari mtu ashamind flag. Kama kunaeleweka mnaendelea hapo hainaga hata haja ya kutongozana maana tayari iko wazi.

Kama hakueleweki zingua zingua mtu ajikate zake alolo maisha yaendelee.

Iko wazi sana hiyo asee sema labda kwa watoto wadogo ambao hawayajui haya mambo ndio shida inakuwepo kuanza story za sungura na fisi.
 
Kwani, kutongoza ni kufanya nini/unatakiwa ufanye nini ili uonekane umetongoza?
 
Mimi sio ndugu yako, wala hatufanyi kazi pamoja wala biashara pamoja. Tumekutana tu tukafahamiana na kubadilishana namba.

Automatically wewe ulieombwa namba inatakiwa ujiongeze kuwa tayari mtu ashamind flag. Kama kunaeleweka mnaendelea hapo hainaga hata haja ya kutongozana maana tayari iko wazi.

Kama hakueleweki zingua zingua mtu ajikate zake alolo maisha yaendelee.

Iko wazi sana hiyo asee sema labda kwa watoto wadogo ambao hawayajui haya mambo ndio shida inakuwepo kuanza story za sungura na fisi.

Nimekupata sana chaliifrancisco
 
kidigital utongozw ukishaambiwa njoo sehem flan unajua kinachofuata n nin uko
 
Back
Top Bottom