Kuna wanaume watamu sana!

Bahati yako hujanitaja jina. Maana ningekupiga chini dakika 0 tu. Yaani shoo yenyewe nimekupa ya kawaida kabisa, ila ukaona uje unisifie huku. Mambo gani haya!!

Hii tabia uache mara moja. Wakati mwingine sitakuvumilia kabisa. 😩
 
Ingekuwa ujinga Mungu asingeweka. Good tulia na ulie nae. Of course God math Ni 1:1.
 
Bahati yako hujanitaja jina. Maana ningekupiga chini dakika 0 tu. Yaani shoo yenyewe nimekupa ya kawaida kabisa, ila ukaona uje unisifie huku. Mambo gani haya!!

Hii tabia uache mara moja. Wakati mwingine sitakuvumilia kabisa. [emoji30]
Kuna show halafu Kuna show Tena[emoji126][emoji126]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…